{"id":1372473,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372473/?format=json","text_counter":45,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Ardhihali ambayo imeletwa na wakaaji wa Embu kudai ardhi ambayo wamemiliki kwa muda wote huo."}