{"id":1373679,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373679/?format=json","text_counter":186,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":"ilibandua mambo ya Housing Levy na hizi pesa zinafaa zirejeshwe kwa wananchi mpaka vile mahakama itakapoamua. Naskia wamepeleka hii kesi kwa Mahakama ya Rufaa na tunangojea kusikia itakuwa namna gani."}