{"id":1373685,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373685/?format=json","text_counter":192,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":"wanawashinikiza vipi ndani ya Housing Levy wakati hawako kazini? Wale ambao wanafanya kazi ndio wanakatwa hizi pesa. Je, anaweza kutueleza huyu mama mboga ataingizwa kwenye mpango huu?"}