{"id":1376352,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1376352/?format=json","text_counter":237,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"walikutana katika Kamati na kuweza kujadili haswa Kiongozi wa Waliowengi, Sen. Cheruiyot, Sen. Omogeni pamoja na wale wengine. Naunga mkono mapendekezo waliotoa kuhusu Constituencies Development Fund"}