{"id":1378640,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1378640/?format=json","text_counter":296,"type":"speech","speaker_name":"Ganze, PAA","speaker_title":"Hon. Kenneth Tungule","speaker":null,"content":"Tumetangulia kwa kusema kwamba ufisadi uko hali ya juu katika idara za Serikali. Hayo ni mambo ambayo hii Ripoti ya Mkaguzi-Mkuu imeangazia. Ni kweli ufisadi uko kila mahali. Kupata huduma kwa kila department ya county government, ni lazima utoe kitu kidogo na mambo kama haya."}