{"id":1380598,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380598/?format=json","text_counter":422,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":". Ukimchukua na kumpeleka skuli nyingine, unapata hakuwa registered . Lakini hiyo skuli inachukua pesa na kila kitu. Kwa hivyo, ameweka mbinu gani kuhakikisha kuwa kila skuli ime record watoto katika NEMIS ili wajulikane katika taifa? Ahsante sana."}