{"id":1381333,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381333/?format=json","text_counter":127,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":" Asante, Bw. Spika. Kwanza, nampa kongole Mwenyekiti wa Kamati hii ambayo iliandika Ripoti kuhusu kaunti kukosa kupeleka pesa ambazo wafanyikazi wanakatwa katika zile pension funds ama mahali pesa za watu wanaostaafu au waliostaafu huwekwa."}