{"id":1381338,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381338/?format=json","text_counter":132,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Wafanyikazi wengi wanaofanya kazi katika serikali za kaunti wanakatwa pesa na kwenda kwenye Local Authorities Pension Trust (LAPTRUST) ama Local AuthorityProvident Fund (LAPFUND). Malipo haya yana mipangilio kwamba mfanyikazi atakapostaafu atachukua pesa zake na zikaweza kumsaidia."}