{"id":1381922,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381922/?format=json","text_counter":92,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kingi","speaker_title":"The Speaker","speaker":null,"content":" Asante sana. Seneta wa Meru, utendakazi wa Seneti unafanyika katika Ukumbi huu na pia katika kamati zenu. Hakuna siri ambayo twaweza kuificha maana kazi ile yote ni kazi ya Seneti."}