{"id":1392999,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1392999/?format=json","text_counter":168,"type":"speech","speaker_name":"Nakuru County, UDA","speaker_title":"Hon. Liza Chelule","speaker":null,"content":"Bungeni kwa kuwa kama Kamati, tumekuwa na mikutano wiki nne mfululizo. Nachukua fursa hii pia kumpongeza Mwenyekiti na Wanakamati ambao wako hapa leo. Mimi ni Naibu Mwenyekiti wa Kamati hii."}