{"id":1395426,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1395426/?format=json","text_counter":282,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika wa Muda, ningeomba kuwa tuahirishe kupigiwa kura kwa suala hili kuambatana na Kifungu cha 66(3) cha Kanuni za Kudumu za Seneti."}