{"id":1404472,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404472/?format=json","text_counter":256,"type":"speech","speaker_name":"Kisauni, ODM","speaker_title":"Hon. Rashid Bedzimba","speaker":{"id":13383,"legal_name":"Ali Menza Mbogo","slug":"ali-menza-mbogo"},"content":" Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii niweze kuzungumzia swala la Tume ya Ardhi. Hii tume ni kitengo muhimu sana katika taifa letu kwa sababu shida kubwa ni mambo ya ardhi. Na katika dhulma za kihistoria…"}