{"id":1404990,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404990/?format=json","text_counter":366,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":null,"content":" Sen. Cherarkey, nataka nikupe onyo kwamba umetoka nje ya mada ambayo tunaongelelea hapa. Ningependa ubaki katika Hoja ile tunaongelea. Wacha kutoka nje ya Hoja."}