{"id":1405003,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405003/?format=json","text_counter":379,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Olekina","speaker_title":"","speaker":{"id":407,"legal_name":"Ledama Olekina","slug":"ledama-olekina"},"content":"Niko sawa. Nashukuru sana. Bw. Spika wa Muda, tunajua ya kwamba, mara kwa mara, Kenya huwa inaenda kutafuta nafasi ya kucheza michezo ya kiafrika. Watu husema viwanja tulivyo navyo"}