{"id":1405005,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405005/?format=json","text_counter":381,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Olekina","speaker_title":"","speaker":{"id":407,"legal_name":"Ledama Olekina","slug":"ledama-olekina"},"content":"Kenya hii ni vichache. Wengi husema viwanja vyote viko Nairobi na wengine husema pengine kuna kimoja Eldoret na Kisumu. Hoja iliyoletwa na mwenzetu, inatakiwa sote tuiingalie kwa manufaa ya biashara, “ economic impact ”, kama vile wazungu wanavyosema. Tukiwa na kiwanja kikubwa, ambacho michezo ile ya kimataifa inaweza kufanyika---"}