{"id":1405039,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405039/?format=json","text_counter":415,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":null,"content":" Maseneta, nadhani Sen. (Dr.) Khalwale alikuwa anajaribu kueleza kuwa aliyekuwa Gavana wa Mombasa alitenga pesa. Hakumaanisha kuwa pesa zilitengwa na aliyekuwa Gavana wa Mombasa. Sen. (Dr.) Khalwale, ni vyema uthibitishe maneno hayo katika kikao kitakachofuata."}