{"id":1411158,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1411158/?format=json","text_counter":157,"type":"speech","speaker_name":"Kwale County, ODM","speaker_title":"Hon. Fatuma Masito","speaker":null,"content":"Mhe. Spika wa Muda, nitaanza kwa kutoa pole zangu kwa familia za wale wanajeshi waliofariki hivi majuzi katika ule mkasa wa ndege. Haitakuwa vibaya kwa Serikali kuangalia na kuchunguza kwa kina…"}