{"id":1418908,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418908/?format=json","text_counter":215,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mungatana, MGH","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mr. Temporary Speaker, Sir, Bw. Waziri alikuwa anaeleza vizuri na akaongelea kuhusu kambi rasmi ya GSU. Pia amenena kuhusu ripoti ya wataalam ambayo inahusika na suala la Sub-County headquarters . Nafikiri hakuyaelezea mawazo yake vizuri maanake haya ni masuala mawili tofauti. Angeeleza ni lini atawatuma wataalam kwenda kuangalia sehemu ambayo Sub-"}