{"id":1419193,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419193/?format=json","text_counter":245,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Khalwale","speaker_title":"","speaker":{"id":170,"legal_name":"Bonny Khalwale","slug":"bonny-khalwale"},"content":"Asante Bw. Spika wa Muda, kwa kunionyesha njia. Kwa kupitia tu, ningependa kumkumbusha Seneta wa Migori kwamba kwenye County PublicAccounts Committee, tayari ripoti ya Mhasibu Mkuu imeonyesha ya kwamba katika ile enzi ya uongozi ya aliyekuwa Gavana wa Mombasa, hii ni ripoti ya nyumba hii---"}