{"id":1419234,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419234/?format=json","text_counter":286,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Oketch Gicheru","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Huyu ni mkubwa wangu na pia anatoka Pwani. Kwa hivyo, Sen. Madzayo anakubaliwa kunipasha habari wakati wowote."}