{"id":1421376,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421376/?format=json","text_counter":261,"type":"speech","speaker_name":"Sen Abdul Haji","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Naibu wa Spika, umesikia mwenzangu akiuliza kama najua Kiswahili. Je, anamaanisha mimi si Mkenya? Bw. Naibu wa Spika, nimemsikia akiongea hapa. Ningependa atufafanulie maana ya wiki mawili."}