{"id":1423322,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1423322/?format=json","text_counter":200,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bw. Spika. Ni aibu kubwa sana hapa Kenya kwa Wabunge 349 kusema kwamba magavana hawafanyi kazi, wakati tunajua kwamba hao magavana 47 wako na Maseneta wao ambao hawajasema hawafanyi kazi. Pia tumesikia"}