{"id":1424398,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424398/?format=json","text_counter":146,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Gataya Mo Fire","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bw. Spika. Nitauliza swali linaloambatana na swali la kwanza kutoka kwa Seneta wa Wajir. Wajir na sehemu zingine za Tharaka-Nithi ziko sawa kwa ukame. Hii ni kwa sababu---"}