{"id":1424409,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424409/?format=json","text_counter":157,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Spika, kuhusu mambo ya Tharaka-Nithi na maji, kama nilivyosema hapo awali, kuna kaunti ambazo tunafanya mapping ili tuweze kuchimba haya mabwawa yamaji."}