{"id":1425193,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425193/?format=json","text_counter":130,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Sen. Munyi Mundigi anapotosha taifa kwamba ni mmea ambao unafaa watu. Hii ni kwa sababu, mihadarati imepigwa marufuku kuambatana na Narcotic Drugs and Psychotropic Substances Control Act . Huu muguka---"}