{"id":1425341,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425341/?format=json","text_counter":278,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada huu kuhusu uhusiano wa Bunge zetu mbili. Naona Naibu wa Kiongozi wa upande wangu ana ghadhabu kidogo. Anataka nichukue dakika chache."}