{"id":1425703,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425703/?format=json","text_counter":57,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mithika Linturi","speaker_title":"The Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development","speaker":{"id":69,"legal_name":"Franklin Mithika Linturi","slug":"franklin-linturi"},"content":", kuhakikisha ya kwamba ukuzaji na uzalishaji wa kahawa unafanyika kwa mazingira ambayo hakuna wadudu ambao wataadhiri quality. Ili tuweze ku- secure soko yetu ambayo tuko nayo, kuongezea quality ya kahawa tutakayozalisha nchini. Kahawa ya Kenya ndio bora zaidi dunia kote."}