{"id":1426012,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1426012/?format=json","text_counter":73,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Naibu Spika, namsikiza ndugu yangu Sen. Wafula, lakini anazungumzia masuala ya moto na wazima moto. Kauli iliyoletwa Bungeni na Sen. Ali Roba ni kuhusiana na mafuriko na tabia nchini inavyoadhiri nchi zetu na zile za bonde la ufa."}