{"id":1426486,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1426486/?format=json","text_counter":188,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Tunajua masuala ya maji, afya, elimu na kilimo hayafai kuwa yalivyo kwa sababu ya pesa hizi. Tunafaa tuajiri watu watakaoangalia mambo ya kilimo. Nawapongeza waliotutetea. Naunga mkono."}