{"id":144036,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144036/?format=json","text_counter":857,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Shaban","speaker_title":"The Minister of State for Special Programmes","speaker":{"id":139,"legal_name":"Naomi Namsi Shaban","slug":"naomi-shaban"},"content":" Asante Sana, mhe. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii, ili nizungumze juu ya Hoja hii. Wakati huu ni muhimu kwetu sisi kwenda kujiunga na kufanya kazi pamoja na watu wetu."}