{"id":1441209,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441209/?format=json","text_counter":285,"type":"speech","speaker_name":"Kilifi County, ODM","speaker_title":"Hon. Gertrude Mwanyanje","speaker":null,"content":" Ahsante, Mhe. Spika. Ninapinga Mswada wa Fedha. Ninaelezea Bunge hili kuwa pesa za Bajeti zinaweza kupatikana tu kwa njia tatu: kutoza wananchi kodi, kuendea mikopo nje, au kupunguza Bajeti ambayo imepangwa."}