{"id":144234,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144234/?format=json","text_counter":127,"type":"speech","speaker_name":"Bi Leshomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"alimuuliza Waziri wa Ulinzi:- (a) ikiwa Waziri ana habari kuhusu mlipuko wa bomu tarehe 13/6/09 katika eneo la Nairoborkeu, tarafa ya Loroki, wilaya ya Samburu ambapo mtoto wa miaka 12 aliuawa; na, (b) hatua zinazochukuliwa na Serikali kuzuia milipuko ya mara kwa mara, ikizingatiwa kwamba tangu mwaka wa 1990, mabomu yamekuwa yakilipuka na"}