{"id":144246,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144246/?format=json","text_counter":139,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kwa wanajeshi hao wanaofanya mazoezi katika ardhi yao? Wananchi wamepoteza ardhi yao na wamepata madhara mbali mbali kutokana na mazoezi yanayofanywa pale. Je, kuna manufaa yoyote wananchi hao watapata?"}