{"id":144251,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144251/?format=json","text_counter":144,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Abdirahman","speaker_title":"","speaker":{"id":161,"legal_name":"Abdirahman Ali Hassan","slug":"abdirahman-ali-hassan"},"content":"Bw. Naibu Spika, tayari Wazari Msaidizi amekubali kuwa huyo kijana aliuawa na bomu lililokuwa katika sehemu hiyo. Je, familia ya kijana huyo italipwa âridhaaâ na Serikali au la?"}