{"id":144256,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144256/?format=json","text_counter":149,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Chachu","speaker_title":"","speaker":{"id":18,"legal_name":"Francis Chachu Ganya","slug":"francis-ganya"},"content":"Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Waziri Msaidizi amesema kuwa chombo hicho kilikuwa kimeachwa hapo. Huyo kijana alikichukua na kukipigisha kwenye mwamba. Kwa nini wanajeshi walikiacha chombo hicho hapo?"}