{"id":144258,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144258/?format=json","text_counter":151,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Musila","speaker_title":"","speaker":{"id":94,"legal_name":"David Musila","slug":"david-musila"},"content":"Bw. Naibu Spika, nimeeleza kwamba baada ya mazoezi yoyote kufanyika, juhudi kubwa hufanywa kuhakikisha kwamba vifaa vyote vilivyotumika vimeokotwa na kurudishwa mahali pake. Lakini kwa sababu sehemu inayofanyiwa mazoezi ni kubwa sana, kuna uwezekano kwamba kifaa kimoja ama viwili vinaweza kusahaulika. Ndiposa tunasema kwamba"}