{"id":1442714,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442714/?format=json","text_counter":122,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Miraj","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ili niweze kutoa changizo zangu kwenya masuala ya kijamii yanayoendelea katika taifa letu."}