{"id":1443345,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443345/?format=json","text_counter":115,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Shakila Abdalla","speaker_title":"","speaker":{"id":380,"legal_name":"Shakila Abdalla","slug":"shakila-abdalla"},"content":"? Kwa sababu wanalinda watu wengine fulani. Mambo kama hayo ya ukosefu wa usawa ndio yanaleta hii shida ya Gen Z kuamka na kuona kwamba ni lazima hii nchi iwe na usalama kwa sababu sote ni Wakenya. Kuhusu ufisadi, utakuta wanaokuwa sacrifice d ni wale small sheep . Anaenda kuishi kwa director na maneja ilhali waziri yuko free . Director na Maneja wanachukuwa"}