{"id":1443377,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443377/?format=json","text_counter":147,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Githuku","speaker_title":"","speaker":{"id":13595,"legal_name":"Kamau Joseph Githuku","slug":"kamau-joseph-githuku"},"content":"Unakuta kwamba leo wamepewa barua kusimamishwa kazi na kuambiwa, “mmepewa hadi mwezi wa saba kutoka hapa mwende nyumbani, hakuna kazi"}