{"id":1444164,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444164/?format=json","text_counter":275,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Okenyuri","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Nikiongezea pia, Mswada huu umekuja kwa wakati unaofaa. Serikali ya Kenya Kwanza ikiwa kwenye harakati zao za kampeni kipindi ambacho kimemalizika, tulikuwa tukisema kuwa tunajali maisha ya wale wachochole; wale ambao wako katika vitengo vya chini mno na Mswada huu umegusia kitengo hicho. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."}