{"id":1446018,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446018/?format=json","text_counter":152,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mungatana, MGH","speaker_title":"","speaker":null,"content":"ya Gavana lazima iwe tofauti na ya Seneta au Mbunge. Hawa wanaweza kuongea mambo mengine general . Gavana ni lazima aeleze wananchi kwa sababu yeye ni Chief Executive Officer (CEO) wa kaunti. Tunaomba sana magavana wapate a new thinking or way ya kufanya kazi kwa sababu ya huu mwamko mpya. Ripoti hii inashinikiza ubadhirifu wa pesa uwe jambo la zamani na tuzitumie pesa zetu vizuri."}