{"id":1457925,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1457925/?format=json","text_counter":118,"type":"speech","speaker_name":"Lamu East, JP","speaker_title":"Mhe. Ruweida Mohamed","speaker":{"id":2100,"legal_name":"Shariff Athman Ali","slug":"shariff-athman-ali"},"content":"iko Mokowe na haijafika. Watu wenye kisukari wanapata shida. Hakuna insulin . Nataka uniambie siku gani stima itawaka Kiunga. Nakupatia wiki mbili, kama haziwaki nitaenda kulala kwenye hiyo stesheni mpaka siku ile mtawasha stima. Asante."}