{"id":1462575,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462575/?format=json","text_counter":144,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Miraj","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii kutoa mchango wangu kuhusu Taarifa ya Seneta wa Bungoma kuhusu swala la malimbikizi ya madeni kwa wanakandarasi wanaopeana huduma tofauti tofauti katika kaunti zetu."}