{"id":1462576,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462576/?format=json","text_counter":145,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Miraj","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Ni jambo la kutamausha kwamba unapotembea katika kaunti yako, unakumbana na wananchi ambao walitoa huduma kwa wakati mwafaka lakini lazima watafute yule watakayemwongelesha ili wahusika waweze kulipa madeni hayo."}