{"id":146297,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/146297/?format=json","text_counter":249,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"La mwisho, Bw. Naibu Spika, naomba kuunga Hoja hii mkono kwa ukamilifu na mimi ni mmoja wa Wabunge ambao wanatoa shukrani kwa yote ambayo yamesemwa."}