{"id":1463005,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1463005/?format=json","text_counter":131,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Murango","speaker_title":"","speaker":{"id":13585,"legal_name":"Murango James Kamau","slug":"murango-james-kamau"},"content":"Bw. Spika, ningependa kutoa kauli kulingana na mapendekezo ya Seneta wa Vihiga, Sen. Osotsi ya kwamba tunafaa kuangalia kama tunaweza vunja Kaunti nzima. Ninamwambia kwamba, panya akiingia kwa ghala, huchomi ghala ila unatoa panya."}