{"id":1467328,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1467328/?format=json","text_counter":2200,"type":"speech","speaker_name":"Ms. Hyrene Kawira","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Nimesema kwenye hiyo clip alisema nimechangiwa Kshs86 million. Alisema pia kwamba nimefichwa na MCA fulani. Ikasababisha aibu, nikawa laughing stock in the community . Watu wa kijii wakasema nakaa na MCA ilhali sijampumzisha bwanangu. Nilikuwa naomboleza bwanangu ikafanya hadi niondoke kutoka kijiji kuenda kukaa na one of my relatives ."}