{"id":1476061,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476061/?format=json","text_counter":450,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Kwa hivyo, hatuwezi enda na mfumo kwamba hizi pesa zipunguzwe. Hii ni kwa sababu zikipunguzwa, mambo mengi ambayo yamepangwa kufanyika katika kaunti zetu hayatafanyika."}