{"id":1476062,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476062/?format=json","text_counter":451,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Kwa sasa, kaunti nyingi zinatumia asilimia kubwa; karibu asilimia 50 ya mapato ya kaunti zetu ya fedha kwa mambo ya matumizi ambayo sio ya maendeleo, yaani,"}