{"id":1476649,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476649/?format=json","text_counter":200,"type":"speech","speaker_name":"Kisauni, ODM","speaker_title":"Hon. Rashid Bedzimba","speaker":{"id":13383,"legal_name":"Ali Menza Mbogo","slug":"ali-menza-mbogo"},"content":"Kuna hazina nyingi za kifedha ambazo zinahusiana na mambo ya ufadhili wa shule kama karo lakini watu Mashinani hawajui vile watazipata; hawajui hata vile watatuma maombi yao na hawajui watakaribia vipi ufadhili huo. Wanakokujua ni hapo kwa Mjumbe na kwa Women Representative. Kwa hivyo, hizo fedha zote zitolewe huku Nairobi."}